msaada wa ku-unlock tecno Q1

mbogyo

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
231
100
jamani leo asbuhi nimewapa simu vijana jiran zangu ambao waltaka kuangalia matokeo yao but kwa baht mbaya niliondoka kdogo na kuwaachia hyo simu bila kuwambia namna ya ku-unlock so toka wanikabdh na kuniambia wamejarb kufungua lkn wameshndwa haitak kufunguka inaniambia niandke acount yangu ya google lkn kila nikijarb inakataa so naombeni msaada wenu wa namna ya ku-unlock hii tecno Q1
 
sasa nitaireset namna gan na haitaki kufunguka zaid ya kuonesha EMEGENCY CALL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom