Msaada wa Ku unlock iphone 6s plus

ilmJ

Member
Aug 16, 2016
37
6
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
 
Shughuli imeisha, ukiingia itune kuna mahali itataka icloud id na password.
Hapo hata FBI walishindwa.
Ushauri: mrudishie "uliyemuibia" na mwambie akupe angalau hela ya maji y kunywa au ipeleke kwa mafundi wainunue iwe kama spea ya kioo, betri nk.
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
 
Mkuu search youtube how to restore iphone utapata njia sahii ila ikimaliza restoration itaitaji Apple id iliokuepo kwenye sim
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
 
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.

Niuzie screen mkuu yangu imepasuka

Au kama huuzi mrudishie mwenyewe
 
Ka unafaham icloud yake iunge kwenye comp yenge prog ya ituned download ipsw file lake iresotore
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
 
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
Kama ni simu ya kwako na una iClound account password, download iTunes halafu unganisha simu kwenye computer kisha utaiona simu yako kwenye iTunes, bonyeza kwenye "Restore iPhone" lakini hakikisha una internet yenye kasi na data isiyopungua 3.5GB
Kama ni yakwako lakini umeipata katika mazingira magumashi na huelewi credentials za iCloud fanya kuiuza kama scrapper kwa wadau wengine
Capture.PNG
 
Back
Top Bottom