spleeingiant
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 138
- 45
Habari wanajamii...naomba msaada wa kupata biblia ya kiswahili katika pc natumia window 10.
Habari wanajamii...naomba msaada wa kupata biblia ya kiswahili katika pc natumia window 10.
shukraniTafuta APP inaitwa JW LIBRARY iko windows store Ina Biblia ya kiswahili na lugha nyingine zaidi ya 400
haipo mkuu kila nikugoogle natumia pcOK, umefika Google wakasemaje!?,.. Ila kuna app yake playstore