Naomben mnisaidie Ku crack online game ili kupata free in app purchases kama gem coin natumia game za clash of clan(COC) ,shadow fight walking dead pamoja na dark sword
huwezi kucrack game la online, sababu vitu vyako vinakaa kwenye server na sio simu yako, unless kuna glitch ambazo hutokea mara moja kila naada ya muda mrefu