Msaada WA kiufundi

suluti

Member
Mar 25, 2015
79
61
Nina toyota brevis, vvti engine hivi karibuni,nikiwa nakanyaga mafuta niongeze speed ikakata mafuta na kuzimika ghafla nikaipaki pembeni, nikaiwasha ikawaka, ikatembea vzr tatizo unakuja pale ninapokanyaga mafuta kwa nguvu mathalani ninapotaka kuongeza speed kuanzia 80kph na kuendelea,inakata mafuta tatizo linaweza kua nini
 
Izo ni miss chek plag myb zimeisha
 
mkuu fukunyua kule kwenye uzi wa mshana Jr wa uzoefu wa magari blah blah....haya yote yamejibiwa. ama tupia huko swali lako haitachukua time wajuzi watakujibu. kule ni mamlaka kamili ya matatizo ya ndinga
 
Mkuu hy kweli ni miss ila hy inavyoonekana brain na electronic plate unatakiwa ubadilishe.uko wapi mkuu au nicheki kwa 0657623266
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…