Ntikwite
Member
- May 13, 2017
- 92
- 53
Habari za wakati huu wana JF, wakubwa zangu shikamoni,
Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja iliyonileta hapa, wiki moja imeisha nmenunua hii simu SAMSUNG GALAX NOTE 10+ lakini imekuwa na changamoto mtandao wake upo chini sanaa
Mfano
-Sehemu yenye mtandao wa kawaida yenyewe laini zinasoma emejency call
- Inaweza ikapandisha data na ikasoma H+ lakin ukiingia google unaambiwa no internet connection wakati mb zinakuwepo za kutosha
-Laini zinaweza zikasoma some times na nikipigiwa eti simu haipatikan japo muda mwingine inakuwa ipo vizuri hasa nikiwa sehem yanye mtandao mzuri
NAOMBENI MSAADA NIFANYAJE ILI IWEZE KUWA NA UWEZO MKUBWA WA MTANDAO MAANA NAIPENDA HII SIMU, asanteni na karibuni kwa ushauri