As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,532
Mkuu ilivyo ni kwamba hawa watoto wazazi wao wameshafariki na huyo kijana wa mwisho tangu enzi za uhai wa baba yake alikuwa tayari ashaanza kuitawala nyumba hiyo kikubwa baba mtu alimtambulisha kwa watoto wake lakini baada ya kifo cha mzee wao yeye ndo amekuwa sauti ya mwisho kwenye kila kituKesi ipo wazi kabisa wakusanye ushaidi wa kutisha kuonesha huyo mtoto wa kiume ni msumbufu katika mali ambazo kikawaida inatakiwa warithi wote(kama baba yao alimtambulisha mtoto huyo katika familia) pia hujasema vipi kuhusu mama wa hao watoto watano, yupo hai?
Mtoto wa nje huyo kaja baada ya kifo cha baba au mumeishinae tangu baba akiwa hai?
Ndugu wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tuungane kusoma yanayowasibu ndugu zetu
Kuna familia moja ambayo mpaka sasa ina watoto 6 wengine wameshatangulia mbele za haki ambao wamezaliwa na baba mmoja lakin wanne kati yao wamezaliwa na Baba mmoja na Mama mmoja,
alafu mtoto mwingine kazaliwa na Baba mmoja pamoja na wale wanne lakini kwa mke mwingine ,
Alafu wa mwisho ni mtoto wa kiume ambaye kazaliwa nje ya ndoa huyo ndio sababu ya kuandika Uzi huu
Kimsingi huyu mtoto wa mwisho 6 ambaye kazaliwa nche ya ndoa amekuwa Msumbufu, Mgomvi na akiwaonea watoto halali wa familia ya Mzee Saidi kisa eti ni watoto wa kike.
Ndugu hawa wameachiwa Nyumba moja kubwa na ina uwanja mkubwa lakin kwa sababu wao wamekuwa ni watoto wa kike basi huyo mdogo wao wa njee ya ndoa amekuwa akiwapelekesha anavyotaka yeye.
Imefikia stage wamepangisha mpangaji katoa hela ya pango kisha wakagawana pamoja na huyo mtoto wa njee ya ndoa lakin yeye ameamua kumleta mpangaji mwingine nakumpangisha bila ya kuwa shirikisha wenzie jambo ambalo limeleta mgogoro mkubwa kiasi kwamba mpangaji wa mwanzo anataka arudishiwe kodi aliyoitoa.
Sasa hawa ndugu wa 5 kodi wamesha gawana na wameila, alafu sasa hivi mpangaji wa awali amekuja juu anataka pesa zake arejeshewe kwaiyo kumetokea mgogoro mkubwa mpaka sasa haujatatulika
Ndugu hawa 5 wameona sasa bora wauze nyumba yao hiyo ili wagawane hela mambo yaishe lakin cha ajabu huyu mtoto wa nje ya ndoa hataki nyumba hiyo iuzwe anataka aendelee kuitawala atakavyo kisa warithi hao ni watoto wa kike ya yeye ni mwanaume
Je ndugu wanajamvi hawa watoto halali wa mzee said ambao wapo 5 wafanye nini iliwapate haki yao
Nawasilisha....!!!!
Sijakusoma mkuu hayo mafumbo yako aisee!!Nyota tupu ndio nimeambulia hapa
Umri umeenda sana hao huyo mdogo wao wa nje ya ndoa umri wake sio chini ya 36Wafanye kazi waache kugombea mali za urithi pambafff zao!
Kweli mkuu ila hawa wamesha chelewa maana ktk hao watoto watano mdogo kati yao Ana range kwenye 40 - 45Urithi peke halali ni shule, ukishaingia kichwani.....hakuna wakugawana nae
AhsanteNdugu tafuta wakili aliyekaribu na wewe atakupa ushauri mzuri zaidi.
Napata ukakasi na matumizi ya neno 'wa nje ya ndoa' ...wewe unataka ushauriwe wamkatae huyo mdogo wao kwa kuwa hakuzaliwa na mama yao?Umri umeenda sana hao huyo mdogo wao wa nje ya ndoa umri wake sio chini ya 36
BossMkuu ilivyo ni kwamba hawa watoto wazazi wao wameshafariki na huyo kijana wa mwisho tangu enzi za uhai wa baba yake alikuwa tayari ashaanza kuitawala nyumba hiyo kikubwa baba mtu alimtambulisha kwa watoto wake lakini baada ya kifo cha mzee wao yeye ndo amekuwa sauti ya mwisho kwenye kila kitu
Hapana lakin kinacho ni kera mm ni huyo kijana kujiona yeye ndo anayestahiki kurithi Mali hiyo peke yake na kuwadharau wengine ili hali kisheria mtoto wa nje ya ndoa ni Mali ya Ke huwa haruhusiwi kumrithi wala kuchukua jina la Baba hii ni according to Islamic sharia ila kwasabau Nje hii inatawaliwa na Secular laws ndo nkaona nije kuomba msaadaNapata ukakasi na matumizi ya neno 'wa nje ya ndoa' ...wewe unataka ushauriwe wamkatae huyo mdogo wao kwa kuwa hakuzaliwa na mama yao?
Hili jambo limekuathiri vipi wewe? Ama wewe ni msemaji wa hao watoto wa kike?Hapana lakin kinacho ni kera mm ni huyo kijana kujiona yeye ndo anayestahiki kurithi Mali hiyo peke yake na kuwadharau wengine ili hali kisheria mtoto wa nje ya ndoa ni Mali ya Ke huwa haruhusiwi kumrithi wala kuchukua jina la Baba hii ni according to Islamic sharia ila kwasabau Nje hii inatawaliwa na Secular laws ndo nkaona nije kuomba msaada
Kweli yaan mkuu mtu huyu alianza kutoa makucha yake baada ya mzee said ambaye ndio baba yake kuzeeka mzee alikuwa hajitambui hata akikaa na kuongea na watoto wake na wajukuu zake alikuwa hamtambui mpka ajitambulishe kwake mzee huyu mm ni babu yangu lakin nlikuwa nkiongea nae mpaka nijitambulisheBoss
Ishu yako nakushauri tafuta mtaalamu wa sheria mueleze story yote atakushauri kama kunaumuhimu wa kumuwajibisha huyo mtotot wa nje.
Kuna mambo mengi yanaitajika kujua
Kama kijana(mtoto wa nje) alikuwa anatawala au jimilikisha mali tangu mzee akiwepo utadhibitisha vipi kama hakumpatia au mrithisha?
Kwanini hawa watoto 5(wakike) hawakulalamika mzee akiwa hai na kumuachia huyu wa mwisho atawale?
Kama alikua anatawala huyu wa kiume tangu mzee akiwa hai kwanini wakapangisha bila ruhusa ya huyu mtawala(wakiume)?
Je kitu gani kitatuaminisha kuwa mzee haku mrithisha kabla ya mauti huyu wakiume? Maana mzee aliona anatawala mali na akakaa kimya?
Ushauri wangu kama mnataka kumaliza kisheria hili swala muwe makini, kijana kama atampata wakili mzuri mtakuwa pabaya,
Njia nzuri kuweni wanyenyekevu, pili iteni wazee wanaowajua vizuri na kumjua baba enu vizur waelezeni wawasaidie kusuruhisha. Nadhani mnaweza pata ufumbuzi mzuri zaidi
Miongoni mwa watoto hao wakike yupo mama yangu mzazi alafu huyo mzee ni Babu yangu mzaa mama sasa kijana anavyo wasumbua ndio na mm napata kero kuona kwanini jamaa anawadhulumu wanawake wakati yeye kimsingi ilibidi awe mpore na hawa wa mama wao hawakutaka kumtenga wala kumbagua sasa yy ndo kawageuzia kibaoHili jambo limekuathiri vipi wewe? Ama wewe ni msemaji wa hao watoto wa kike?
Mambo yahusuyo ndugu huwa yanamalizwa kwa busara tu kwa ndugu kukaa pamoja na kuzungumza....hilo ndilo la msingi,kutafuta wazee watu wazima wenye busara zao na kuzungumza kwa pamoja!Miongoni mwa watoto hao wakike yupo mama yangu mzazi alafu huyo mzee ni Babu yangu mzaa mama sasa kijana anavyo wasumbua ndio na mm napata kero kuona kwanini jamaa anawadhulumu wanawake wakati yeye kimsingi ilibidi awe mpore na hawa wa mama wao hawakutaka kumtenga wala kumbagua sasa yy ndo kawageuzia kibao
Kweli usemalo mda sio mrefu nmeambiwa wameenda kwa M/kiti wa Mtaa tatizo huyo kijana asikii la muadhini wala mteka maji msikitini anaweza akaenda kuwenywea pombe na kuwavutia bangi kisha akaja kuwatukana wamama wawatuMambo yahusuyo ndugu huwa yanamalizwa kwa busara tu kwa ndugu kukaa pamoja na kuzungumza....hilo ndilo la msingi,kutafuta wazee watu wazima wenye busara zao na kuzungumza kwa pamoja!