Msaada wa kisheria kuhusu kuhamishwa kituo cha kazi

elibariki eliud

New Member
Jun 6, 2016
4
7
jf naomba kujua mfanyakazi wa mkataba anastahili kupata stahiki pindi anapohamishwa kituo cha kazi akiwa ndani ya mkataba,na je ni sheria,kanuni gani inamuongoza juu ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…