Nitangulize salamu zangu kwenu wapendwa
Kijana Miaka 21
Me
Elimu kidato cha sita
Eneo Dar
Ninahitaji msaada wenu wa kazi wakuu ninateseka sana mtaani sijui nianzie wapi Inafikia hatua nakata hadi tamaa ya kuishi mwenyewe kulingana na hali ngumu niliyo nayo asee Mungu awabariki yangu nihayo tu