LIFE PAIN GAIN
Member
- Oct 25, 2021
- 98
- 98
Hello marafiki,
Naelewa wanaJF ni wajuzi wa mambo. Na kupitia uzi huu wengi watafaidika.
Ningependa tufuhamu jinsi ya kupata Uwakala wa vinywaji vya Azam:
Karibuni kwa michango
Naelewa wanaJF ni wajuzi wa mambo. Na kupitia uzi huu wengi watafaidika.
Ningependa tufuhamu jinsi ya kupata Uwakala wa vinywaji vya Azam:
- Vigezo unavyotakiwa kukidhi.
- Mtaji unaohitajika ili kupata fursa hiyo ya kuchukua mzigo kutoka kiwandani ili pia tuweze ya kudistribute kwa wafanyabiashara wengine.
- Pia, faida na changamoto za aina hii ya biashara.
Karibuni kwa michango