Msaada wa intaneti kwenye simu yangu

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,973
27,209
Yaani natumia mtandao wa tigo lakini nina bando 190mb lakini halisapoti chochote yaani hata sms au video halikubali nishafanya seting cm yangu lakini wapi, shida ni nini wadau?
 
Back
Top Bottom