msaada wa HP DisplayPort to HDMI 1.4 Adapter

gm man

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,177
1,455
wakuu

hizi HP DisplayPort to HDMI 1.4 Adapter zinapatikana wapi na na kwa kiasi gani????????????
 
nenda machinga complex , jengo la kushoto ukitokea boma , floor ya 3 ivi kama sjakosea , kuna takataka nyingi mno za kompyuta, utaipata
 
Sawa mkuu.. But natamani kufahamu yauzwa kiasi gani
 
Mi nimenunua yangu 16,000 uhuru, sema haifanyi kazi kama ninavyotaka mimi kwenye monitor yangu. Nyingi ni cable tu na sio adpater kuwa makini.

DP2HDS.Main.JPG

Nilijaribu kuchomeka tv box ikakataa, hivyo natumai same kwa vitu visivyo smart kama ving'amuzi, stick mbalimbali etc havitafanya kazi.
 
Sawa mkuu.. Asante
 
mkuu naomba elmu kidogo hapa juu ya kebo hii inatumika kwa matumizi gani na umuhimu wake ni nini

Inakuwezesha kuconnect vifaa vya HDMI na display port pamoja.

Mfano una desktop Ina HDMI na monitor ya display port, kipitia hicho kifaa utaweza kuviunganisha
 
Back
Top Bottom