Napenda kuuliza wana JF nchi ya Marekani ilikuwa inatoa msaada wa fedha chini ya MILLENIUM CHALLENGE ACCOUNT ili kusaidia miradi ya Barabara, Umeme nk. Vipi Mradi huu bado unaendelea au umesitishwa?.Je kama umesitishwa ni sababu zipi zilizopelekea Mradi kusitishwa?.