Hao viumbe ni hatari sana wanakula Had migomba, ni dawa chache sana zinaweza kuwadhibiti,kwani wanauwezo wa kupambana na dawa mbalimbali kwa asilimia kubwa.Wadudu hawa wameniharibia ekari mbili za zao la mbazi tafadhali anaejua sumu ya wadudu hao anisaidie
Nawakumbuka wadudu hawaWadudu hawa wameniharibia ekari mbili za zao la mbazi tafadhali anaejua sumu ya wadudu hao anisaidie
Hahaaa,tondogoso au mothoMkuu hawa wadudu huku tunawaita tondogoso ni balaa. Hizi sumu za kawaida tu sidhani kama wapo wengi kazi unayo sumu yao kubwa ni mvua kubwa tu
EeeeHahaaa,tondogoso au motho
SahauChakula Cha kuku hicho
Kuku hagusi hao anawaogopaaaSahau
Jaribu kupiga dudu fenos lakin pia wakati mwengine tumia sumu inaitwa tunza wakati wa kupanda mazao yako inasaidia hawagus wala kutafuna