Hospitali wamekupa dawa gani?
Nimetumia Dawa Ya fluconazole ,tube za kupaka lakini Wapi ila siku hizi mbili nimeanza kuona vidonda kwa korodani vina majimaji sijajua nataka nirudi tena hospital
 
Rudi tena hospitali
 
Nimetumia Dawa Ya fluconazole ,tube za kupaka lakini Wapi ila siku hizi mbili nimeanza kuona vidonda kwa korodani vina majimaji sijajua nataka nirudi tena hospital
Vidonda vya maji vinavyowasha kwa utamu, au ni vidonda vinavyouma?
 
Habari Ndugu,

Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?

Pole sana.

Ni muhimu ukarudi hospital kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Kila la kheri.
 
Nimerudi Leo hospital ndugu zangu nimechomwa sindano ya Power cef ila sijui inatibu nini,ila wao wameniambia Tu kuwa inatibu magonjwa mengi
 
Back
Top Bottom