Msaada wa Course ya kusoma chuo

Sep 24, 2024
11
13
Jamani Kuna mdogo wangu kapata degree ya Medical Doctor Kairuki na pia diploma in radiology Muhumbili. Anauliza yeye kama yeye achague wapi coz anahisi sasa MD haina deal tena kwa siku hizi.
 
Kati ya izo kozi mbili Ulizo taja apo juu 👆 Ye Anapenda Ipi, Soma Kitu Unacho Kipenda , Usisome kozi Ambayo Haupo Intereste Nayo kwa Kuzani Utaajiriwa Utajuta, Nowadays Hakuna Hajira ila Kwa sasa najua Hautonielewa.
 
Jamani Kuna mdogo wangu kapata degree ya Medical Doctor Kairuki na pia diploma in radiology Muhumbili. Anauliza yeye kama yeye achague wapi coz anahisi sasa MD haina deal tena kwa siku hizi.
So aliomba MD kwa sababu gani kama haina dili?na anaaposema dili anamaanisiha nini?
 
Jamani Kuna mdogo wangu kapata degree ya Medical Doctor Kairuki na pia diploma in radiology Muhumbili. Anauliza yeye kama yeye achague wapi coz anahisi sasa MD haina deal tena kwa siku hizi.
Kama mpo vizuri kiuchumi asome hiyo MD ila kama
ni tia maji tia maji bora asome hiyo Diploma ya radiology.
 
Jamani Kuna mdogo wangu kapata degree ya Medical Doctor Kairuki na pia diploma in radiology Muhumbili. Anauliza yeye kama yeye achague wapi coz anahisi sasa MD haina deal tena kwa siku hizi.
Hapo kitakachoamua ni uwezo wa familia kiuchumi.maana md kwa kairuki karo yake "imechangamka" labda kama ana mkopo.Ila MD haijawahi kuishiwa soko hapa Tz labda useme kijana awe lege lege ..radiology ni hawa wakupiga picha za waliovunjika miguu e-ray si ndiyo?.sasa sasa unafanisha diploma ya radiology na Medical Doctor kweli?
 
Hata akipata mkopo anabidi aongeze kama million 3.5 kila mwaka
lazima familia iwe vizuri.

Pia usiseme kwa MD haijaishiwa soko, wewe upo nchi gani
wanavyo hangaika kutafuta ajira uwaoni. Kuna zaidi ya
MD zaidi ya 3000 mtaani hawana ajira rasmi na walio kwenye
vijiwe wanalipwa mishahara midogo sana.
 
sasa ukilinganisha na kupiga exray unaona wapi nafuu?
 
Kwenye radiology soko halijawa saturated. Radiology
imeanza miaka ya hivi karibuni wanahitajika.

Hata ukipata kazi kama huna uwezo wa kuspecialize
ukiwa Daktari wa degree moja ni stress tuu.
 
Shida ya MD n miaka mingi yaan karibia miaka 6 unapoteza mda tu then uje ukae miaka kadhaa uantafuta ajira mpk siku unabahatisha iyo kazi una miaka 30+ ss huon ushapoteza mda mwingi miaka 30+ ndo uanze na mshahara wa laki 8 kweli after makato huo si utumwa yaan ss ivi hebu funguen akili zenu jmn maisha haya sio ya kuyafanyia mashara mfosi kijana wako atafuye hela mapema sn ili akifika kwenye miaka 30+ dogo unakaa nae kwenye vikao bya family anatoa mawazo ya kiutu uzima sio jitu lina miaka 34 linasubiri ajira serikalin ya laki 7 atatoboa ln huyu mtu
 
Umeona mbali mkuu bora uwape ukweli mchungu.
 
Kuna kitu apa Mleta mada tuliza kichwa
 
Back
Top Bottom