Msaada wa Connection Ma Friji ya Kampuni

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,462
2,838
Naomba msaada kwa mwenye kujua watu wanao husika na utoaji wa haya mafriji ya vinywajk ya kampuni.

COCACOLA
PEPSI
BEER

Nayahitaji kwa hali na Mali naomba msaada ili niweze fungua biashara ninayoitamani kwa kuanza nayo hayo kisha baadae nitaweka yangu binafsi.

Kuna wengine wanatoa ma Freezer kwa ajili ya kuweka ICE CREAM utaratbu ni ule ule unanunua mzigo kujaza friji lako kisha friji wanakupa bure.

MSAADA...
 
Popote ulipo tafuta branch ya hizo kampuni au wauzaji wa kampuni(Sales team)au mawakala wao watakupa utaratibu.
 
Niliwahi kujaza pepsi kwenye fridge ya Cocacola jamaa wakaja kuniletea noma nikawashikia panga sahivi sina connection ya hizo friji
Ungewambia tu gari lao halijapita muda mrefu na duka unalochukuliaga mzigo wamefunga...sound tu wanakuelewa
 
Ongea na said salim bakhresa akupe friji 6 kila moja laki 8.7

Au zungumza na asa dairies akupe friji zake imara kwa laki 9.7 😃👍
Naomba connection mkuuu ndio kitu natafuta kwa kufungua huu uzi
 
Back
Top Bottom