Aigoo JF-Expert Member Feb 27, 2015 3,124 2,818 Jun 15, 2017 #1 Nataka kuweka call barring for all incoming call na sms lkn nimeshindwa nimewacheki watoa huduma halotel wanazingua tu je code ni zipi kwa wenye maujuzi haya
Nataka kuweka call barring for all incoming call na sms lkn nimeshindwa nimewacheki watoa huduma halotel wanazingua tu je code ni zipi kwa wenye maujuzi haya
iNine9 JF-Expert Member Mar 1, 2017 4,357 8,092 Jun 15, 2017 #2 Mmmh! Hii ngumu kumesa kwakweli..... Wajuvi mkuje mumsaidie huyu jamaa...