hbi
JF-Expert Member
- Feb 6, 2011
- 678
- 298
Nimeinstall a fresh copy of windows 7 kwenye laptop yangu aina ya dell inspiron N5030, baada ya kumaliza baadhi ya drivers zikawa zinamiss, nikajaribu kudownload kwenye website ya dell nikafanikiwa kupata baadhi ila driver ya blootooth na webcam nimeshindwa kupata... Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia... Asanteni sana