Msaada wa bei ya chicken wire kwa bei ya jumla

Bin S

Senior Member
Mar 26, 2023
199
318
Habari za wakati huu GTs,

Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla.

Nipatikana Mwanza
 
Tz buana,mambo ya Simba na yanga au kula tunda kimasihara yanafagiliwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom