Msaada Vyuo vya ELIMU maalum ngazi stashahada (diploma) hususan Kwa viziwi

Duniatunapita man

Senior Member
May 5, 2024
148
221
Habari za mchana.

Ninahitaji kujua vyuo vya serikali vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum kwa viziwi,. Nimejaribu kupitia mtandaoni nimeona ni Kabanga-Kasulu na Mpwapwa-Dodoma ndio vinavyotoa diploma ya ELIMU maalum ila kwakuwa lengo langu ni kusoma ya viziwi na sijui kama hivyo vyuo vinacourse kama hiyo.

Mwenye taarifa au waliokuwapo huko karibuni naomba ufafanuzi. Nikipata namba pia ya wahusika itakua vizuri.

Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom