Samahani waungwana ina karakana yangu ya ufundi furniture hapa Dodoma kuna vifaa navihitaji sana, nimejaribu kuvitafuta Dar nikakosa lakini Dar ni kubwa inawezekana vipo.
Naomba yeyote mwenye kujua wapi wanauza au kama unavyo naomba nijulishe.Nahitaji machine inaitwa dovetail machine. Mafundi wengi wanaiita inayokata mkato wa mkia wa njiwa.Pia nahitaji DADO huu ni msumeno wamviringo napenda kuweka picha ila nashindwa.
Naomba msaada wenu.
Namba yangu 0717707565