Mayai hayakuwa na mbegu unamadume mangapi ndugu ??Yanakuwa viza.. Nini tatizo
Sent from my E6633 using JamiiForums mobile app
Mkuu nilipatwa na tatizo kama hilo mara ya kwanza waliangua baada ya kuwafuga kwa miezi 6 aliangua vifaranga wote kabla zija wajengea kisima ila madume nilikuwa nao watano nilichogundua hawa ndege huwa dume moja huwa kiongozi na lazima atakuwa mtata sana huwa harusu mwingine kupanda hata kama yeye ni dume suruali huwa linakuwa na mkwara sana kwa madume mengine na madume mengine humuheshimu sana !!Kubwa moja na madogo matatu
Sent from my E6633 using JamiiForums mobile app
Mkuu nilipatwa na tatizo kama hilo mara ya kwanza waliangua baada ya kuwafuga kwa miezi 6 aliangua vifaranga wote kabla zija wajengea kisima ila madume nilikuwa nao watano nilichogundua hawa ndege huwa dume moja huwa kiongozi na lazima atakuwa mtata sana huwa harusu mwingine kupanda hata kama yeye ni dume suruali huwa linakuwa na mkwara sana kwa madume mengine na madume mengine humuheshimu sana !!
Chunguza utaona ata kutangulia mbele lazima litanguliye hilo babe kwanza likitembea kila dakika fulani huangalia kama kuna dume linatongoza mkuu huyu hawa ndege siyo kama jogoo huwa yana chukua kama dakika 3au 4 adi lipande juu ya jike sasa hapo dume hawezi panda maana yana wivu sana na huwa madume mengine yote lazima yanapokea muongozo kutoka kwa huyo mbabe
note hawa jamaa wakiwa kwenye maji hawanaga nguvu kabisa ya kupandana ni mara chache sana na ni tukio la bahati nasibu kupandana ndani ya maji !!
Ondoa huyu dume anaye anayepita mbele na kupiga kelele siyo mpandaji!!
Nilicho jifunza kwa hawa jamaa kwa kukaa nao mda mrefu unaweza ukawa una madume 3majike 6 na yote yasitage mayai yenye mbegu maana kwenye hayo madume 3 kuna moja litakuwa tata sana likimuona dume anaye taka kupanda anakuwa adui yake mkubwa sana hawataelewana na tabia ya hilo dume tata huwa halipandi unaweza kuwa na madume matatu yote yakawa mapole !!Sorry sijakusomq fresh. Inamaana ukitaga kufuga linatakiwa dume moja?
Kweli Ndg ? Wapi huko bata wanapouzika aiseeh ?Ata mm napata elimu kwa kweli humu. Hawa bata naskia bei zao ni hatari sana.
Kweli Ndg ? Wapi huko bata wanapouzika aiseeh ?
Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
Hao ndo tatizo lao huwa wanataga mara moja kwa mwaka na kwenye kulalia wanalalia wote kwa pamoja na kuharibu mayai,me baada ya kugundua hivyo huwa nawatenganisha vibandaMimi nafuga niliwanunua mwaka jana Saba saba wakataga na kutotoa vizuri lakini sasa hivi wamelalia wa wili wote mayai yamehalibika. ukiyavunja ndani yanatoka maji meusi na harufu kali sana
Sent from my E6633 using JamiiForums mobile app