Habari wakuu..!!
Nina sony music system yangu ya miaka mingi kidogo kwa miaka zaidi ya 15 inapiga kazi.
Miezi miwili iliyopita haikutumika tulikuwa safari, sasa leo kuiwasha, inawaka lakini main speakers wala surroundings hazitoki sauti.
Kabla sijaenda kwa fundi nini yaweza kuwa shida hapa wakuu.?
Ahsante