Msaada Unlock network code

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
236
Naomba msaada kwa anayejua unlock network code ya nokia lumia 520 nimepewa na dada alitumiwa kutoka Uk bado ni Mpya inatumia windows 8.0
 
Nenda online kuna site kibao za kulipia. Within 3 days unapata unlock code yako
 
Carrier ni EE haijawai tumika kabisa kwa mujibu wa aliyetumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…