matyhans JF-Expert Member Jan 3, 2013 611 403 Jan 24, 2025 #1 Habari wakuu, dogo amepata Div IV ya 28 Maths F English F Kiswahili C History C Geography D Biology D Civics D Naomba ushauri asomee kozi gani ? Nataka mpeleka Certificate then Diploma.
Habari wakuu, dogo amepata Div IV ya 28 Maths F English F Kiswahili C History C Geography D Biology D Civics D Naomba ushauri asomee kozi gani ? Nataka mpeleka Certificate then Diploma.
M makutupora JF-Expert Member Jul 7, 2015 1,860 3,543 Jan 24, 2025 #2 Mpeleke akasomee Social Work certificate ustawi wa jamii.