Msaada tutani

Guus

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
1,134
833
Wanajamvi, kwanza niwasalimu nyote.

Ninashida na "firm" inayotengeneza unga wa ndizi inaitwa Kishenga Entreprises ipo Dar es Salaam. Kwa yeyote mwenye taarifa nayo, hasa kwa mawasiliano, ningeomba anisaidie (pm). Nimeiona hii "firm" youtube. Njia nyingine mbadala ni kwa mtu anayefahamu ilipo Dry-Cleaner inayoitwa LAROLA bado atakuwa amenisaidia (maana kwa video ya youtube nahisi taarifa hii pia itanisaidia).

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…