Deni la nini?Naomba mtu anisaidie kukagua deni la gar namba ya gar ni T698 CUY
Naona mtandao umegoma na kifurushi kinabeti leo.... natanguliza shukrani
Kuna deni la gari na deni la dreva ni separate.Faini za barabarani za trafik
Mkuu sorry nimekosea...SIjaelewa unaeza eka scren shoot