Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 627
Wakuu sijui ni matatizo ya kisaikolijia au nini wakuu labda nyie wakuu mtanisaidia kwakweli yaani tarehe kama hizi za mwisho wa mwezi wa mshahara upwiru inaongezeka na drive ya Kula mbususu inakuwa kubwa sana aisee mpaka nawaza kwa akili hizi kuna kujenga kweli? Au kuna kufanya maendeleo wazee
Wakuu naombeni msaada nifanyeje?ili niepukane na adha hii?
Wakuu naombeni msaada nifanyeje?ili niepukane na adha hii?