Msaada tu Kilimo na soko la Tangawizi

uduzungwa

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
552
543
Salama wana jamvi.
Wakuu nina kiamba changu maeneo ya moro hapa kahekari 1. Nina mpango wa kulima tangawizi tu.

Naomba mwenye ulewa juu ya kilimo hichi pamoja na soko lake.

Msaada tu.
 
Tangawizi ina soko zuri
Na bei yake Ni nzuri tu ,kwa mikoa ya Dodoma ,singida ,tabora,shy Na simiyu bei Ni nzuri mno,kg 1 Ni shs.4000/#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…