Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 464
- 273
Habari wakuu naombeni msaada katika hili, nina Smart tv aina ya Toshiba fire TV na huku nilipo kuna Cable zile za mtaani unalipia unaunganisha.
Changamoto ninayokutana nayo nikichomeka ile Coax cable niki search channels inahesabu hadi 100% mwisho inaandika 0 channels found kwa maana sipati hata channel moja ila cable hyo hvyo nikiweka kwenye TV nyingne ambayo sio smart channels zinaingia kama kawaida.
Je, natatuaje hili wakuu?[mention]Chief-Mkwawa[/mention] na wengineo ambao sijawa tag.