Habari za weekend hii waungwana.
Leo nilipata notification ya system update ya TECNO BOOM J8 ili kufix bugs zilizopo kwenye version ya sasa.
Baada ya kuapkuwa na nilipoanza kuisakinisha (ku Install) ndipo ilipozima na kuwaka ikagomea kwenye TWRP.
Hapa nimekwama, sijui hata nianzie wapi niishie wapi kuirudisha kwa stock rom.
Msaada wenu tafadhari.
Kwa bahati mbaya sana STOCK RECOVERY ya hii simu sijaipta. Nimejaribu google lkn sijafanikiwa.Nenda kaiflash irudi kwenye factory settings
Nimejaribu kucheck kwa google lkn sijapata ROM ya J8. Nimeingia kwenye forums na blogs mbalimbali lkn sijaipata.Kma una twrp recovery nenda ka wipe data na delvic,na cache.....that de first stape,try that kwanza then check kma itamalizia ku boot, kma ikishindikana tafuta roms ya J8 then flash kutumia sp flash tools
YAhh possible coz rom za tecno karibia zote ni backup za simu zinazo fanya kazi vizuri,so hyo ni right moveKuna jamaa alinishauri kwamba kama ROMS za TECNO J8 bado kupatikana, nitafute simu nyingine ya aina hii TECNO J8, tu-copy file then tu-flash kwenye simu yangu.
Vp hili linawezekana kutatua tatizo langu ndugu zangu ili nianze kuchakalika kuwatafuta wanaomiliki tecno J8???
unamanisha mtaa wa agrey, uhuru road?Kama upo Dar nenda pale myaa wa Agrey uhutu road ingia ndani ya jengo ambalo zaman lilikua kanisa..yupo mtaalam ambaye hashindwi kitu.
Ndiounamanisha mtaa wa agrey, uhuru road?
Simu yoyote inayopokea OTA update ukiiroot na uka-update ndo unakuwa umeiua. Cha kufanya flash stock rom ambayo haijafanyiwa rooting, baada ya hapo update OTA.Habari za weekend hii waungwana.