Msaada: Tatizo la muwasho kwenye njia ya haja Kubwa

Montania

New Member
Aug 30, 2019
3
14
Habari ndugu zangu!!

Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem ya haja kubwa. Nimejaribu kutumia sabun tofaut lakn wapi, nmetumia dawa za minyoo nazo nkizan ni pinworms lakin bado tatizo halijaondoka, naomba mwenye kujua tiba sahihi ya tatizo hili aweze kunisaidia, na kusaidia wengine wenye tatizo kama hili.

Asanten Ndugu zangu, wote mtakao onyesha ushirikiano kwenye hili.
 
Dalili za BAWASIRI
 
Back
Top Bottom