Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

hmaloh

Senior Member
Nov 22, 2018
126
186
Habari za usiku Wanajamvi,bila yakupoteza muda ndugu zangu nimuda sasa jamaa yangu anasumbuliwa na tatizo lakutokwa na damu Kila akienda kujisaidia haja kubwa.

Tumejaribu kumuuliza ndugu yetu fulani akasema hao ni ameoba so tunaomba na nyinyi msaada wenu I know kuna wataalamu humu.Naomba kuwasilisha.🙏🙏🙏
 
Habari za usiku Wanajamvi,bila yakupoteza muda ndugu zangu nimuda sasa jamaa yangu anasumbuliwa na tatizo lakutokwa na damu Kila akienda kujisaidia haja kubwa.Tumejaribu kumuuliza ndugu yetu fulani akasema hao ni ameoba so tunaomba na nyinyi msaada wenu I know kuna wataalamu humu.Naomba kuwasilisha.🙏🙏🙏
Umeshaenda kumwona daktari?
 
Back
Top Bottom