mi mwanaume,nimeota nina mimba,hyo mimba imejipachka kwenye mkono wa kushoto mbele ya kiwiko,nikawa nimelazwa hospital,nikawa nimepata uchungu wa kuzaa,eti nikiuning'iniza mkono pale kitandan ile mimba inakua inashuka kuelekea vidolen,huku manesi wanasema sukuma,vidole vikawa vipo kama vimejaa maji yaan mf.mtu ukiungua moto ngoz inavyojaaga maji,manesi wakisema sukuma mi naona mimba inashuka,ilipokaribia vidolen maneshp wakaanza kuvaa gloves,nikash2ka.naombeni tafsiri