Msaada tafsiri sahihi ya hii sentensi

nilivyoelewa;

x ni generation x(waliozaliwa 1965-1980)
y ni generation y(watu waliozaliwa 1981-1996)
z ni generation z(watu waliozaliwa 1997-2012)

right wing ni upande wa kisiasa unaokubali ubepari na umiliki binafsi

sasa kimantiki hiyo sentensi inamaanisha gen x na gen y wanapenda siasa za right wing kuliko gen z
 
"X" and "y" are both favored to "z" on the right wing

^...wanakubalika kwa Z kwenye mrengo wa kulia^
 
Back
Top Bottom