Mtafutaji Asiyechoka
Member
- Feb 15, 2021
- 77
- 88
Wakuu mambo vpi? Huku kukosa kazi kunatifanya tuapply kila kazi tunayoiona, ni changamoto.
Niliapply kazi ya Data Entry Clerk katika kampuni inayoitwa Silverlief trading limited kupitia tovuti ya Ajira zetu (kwa kujaza Google form).
Sasa leo nimeona email ya Ajirazetu yenyetaarifa za Silverlink ikinielekeza namna ya kupata maelezo ya kuanza kazi (kama interview vile) kupitia Whatsapp (kwa kutumia link yao).
Nimewasiliana na mtu aluyejitambulisha kwa jina la Monica Davids kama HR na akanipa maelekezo ya kufuata kupitia link kufungua akaunti kwa ajili ya kazi ya Online Sales assistant.
Nimefanikiwa kufungua akaunti na akahitaji nimtumie ok invitation code (hata yeye mwanzo alinitumia invitation code na ndiyo niliyofungua nayo akaunti) na nikawa nimemtumia.
Changamoto imekuja nilivyoangalia kwenye About Us nimekutana na jina la kampuni nyingine inaitwa Raysbot Private limited na inadeal na kufanya fake order kwa ajili ya kuongeza sales za partners wao kama ebay n.k Nikiwa bado sijatulia yule HR akaniambia ni-log out kwenye account yangu halafu ni-login kwennye account nyingine akiniandikia username, password na invitation code, hapo ndio nikastuka zaidi.
Nitajaribu kusearch uhusiano baina ya Silverleaf Trading limited na Raysbot Private limited sijauona.. Hapo nikaconclude kuwa inawezekana hii ni scam.
Nachojaribu kujiuliza, hawa Ajira Zetu wanaweza kuhost scammers?