Msaada tafadhali kuhusu matokeo haya

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,079
6,911
Anaweza kusomea nini kwa matokeo haya.
1.Civics-D
2.History-D
3.Geography-D
4.Kiswahili-C
5.Biology-F
6.B/Math-F
7.Physics-F
8.Chemistry-F
9.English-D
Division four ya 29 mwaka 2010.
Kurudia amekataa
 
Asiende mipango huyo dogo atapoteza muda asome hata account procurement and supply au business administration kwasababu coz za mipango hazina tija wala fursa za ajira kwny ulimwengu wa sasa
 
Asiende mipango huyo dogo atapoteza muda asome hata account procurement and supply au business administration kwasababu coz za mipango hazina tija wala fursa za ajira kwny ulimwengu wa sasa
Msaada kuhusu application na vyuo
 
Anaweza kusomea nini kwa matokeo haya.
1.Civics-D
2.History-D
3.Geography-D
4.Kiswahili-C
5.Biology-F
6.B/Math-F
7.Physics-F
8.Chemistry-F
9.English-D
Division four ya 29 mwaka 2010.
Kurudia amekataa
Asome early childhood education mwaka mmoja then atakuwa na sifa kujoin diploma in primary education mpk kuwa Mwl km wewe
 
Asome early childhood education mwaka mmoja then atakuwa na sifa kujoin diploma in primary education mpk kuwa Mwl km wewe
Kuwa kama mimi tena.
Nilipata division one O level na A level na kujiunga UDSM.
Asante kwa ushauri.
Vipi kuhusu kupata ajira akimaliza course ya mwaka mmoja
 
Statistical training centre na F ya hesabu?... Can't be serous

Hesabu hapo ndo ime muua ila Anaweza kubadilika sababu kuna wailmu wazuri pia atakuna na wenzie kutoka nchi mbalimbaLi Mimi nime soma hapo Kweli hesabu ndo kilA kitu lakini kuna Watu wamekuja awajui na wameweza usalama na mazingira ya pale ni wakipekee umeniwesha kupata A nyingi tuu mlete tuu
 
Anaweza kusomea nini kwa matokeo haya.
1.Civics-D
2.History-D
3.Geography-D
4.Kiswahili-C
5.Biology-F
6.B/Math-F
7.Physics-F
8.Chemistry-F
9.English-D
Division four ya 29 mwaka 2010.
Kurudia amekataa
Huyo atapokelewa vyuo vya biashara katika kozi za accounting,procurement,business administration na nyinginezo.
Mpeleke vyuo kama CBE,TIA,IFM na nyingine nyingi.
Kuhusu application fuatilia link ifuatayo www.nacte.go.tz
Atalipia sh 20,000 kisha ataendelea na application kama kawaida. Sema kakaa Sana mtaani. Since 2010 to date?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…