MSAADA: Soko la mayai ya kisasa ni lipi kwa Arusha?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,414
39,491
Habarini Wadau,

Hivi kwa Arusha nikitaka kuuza mayai ya kuku wa kisasa, soko lake liko wapi na wananunua Tray moja kwa bei gani?

Shukran.
 
Soko kuu LA arusha pale opposite NMB siyo mtaalamu sana ila ya jumla naona hapo bei inategemea upepo ...
 
Unauza ya jumla?.soko LA jumla Mara nyingine linashuka mpaka 5500,6000, juu 7000 mpaka7500 Nitafute kama una mengi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…