Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,963
- 9,307
Habari wakuu.Nina TV ni smart aina ya TCL sasa shida iliyopo haioneshi channels nyingi kama ilivyo kwa smart tv zingine.Inakamata channels za ndani tu tena sio zote ni baadhi tu.Antena nime connect vizuri sijui shida nini.Huwa inaandika maneno 'NO CI MODULE' na 'INVALD SERVICE'.Msaada kwa wenye uelewa na hizi smart tv.Natanguliza shukurani.