Msaada: Sipati rangi nzuri ya picha channel zote kwenye TV yangu

chibi

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
240
65
Habari wakuu.
Nimennunua Tv ya Homebase na king'amuzi cha startimes sasa sipati rangi nzuri ya picha channel zote naomba kujua tatizo ni tv au king'amuzi
King'amuzi ni kile cha antena ya ndani
Naombeni msaada jamani kama nakosea kuset au la au kama ni tv kesho niirudishe.
 
Hamna tv isiyokuwa na rangi na ikakosa kuridhisha. Chukua remote ya tv
Nenda
setting
Picture mode
Hapo utaongeza ubora unaoutaka wa picha
 
Hamna tv isiyokuwa na rangi na ikakosa kuridhisha. Chukua remote ya tv
Nenda
setting
Picture mode
Hapo utaongeza ubora unaoutaka wa picha
676d53ea820bd289067dfb020805d1cc.jpg

Nenda kwenye setup utaiona setting alafu picture hapo utaweza ku control muonekano
 
Back
Top Bottom