Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,751
- 5,108
Natumaini nyote mmeamka salama, Msaada tafadhari Simu yangu imekuwa na tatizo la upigaji camera kila ninapopiga picha inakuwa na ukungu hata haionyeshi,tatizo hili limeanza gafla,kipindi cha nyuma haikuwa hivi msaada tafadhari natumia Itel