Msaada simu ya tecno inagoma (inastack)

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,898
11,745
Wakuu simu yangu ya tecno m9 nikiwa naitumia inagoma na kustack na kuniandikia pale chini
Exit..........................x nimeirestore factory lakini bado tatizo halijaisha msaada tafadhali.
@Chief-Mkwawa na wengineo
 
Kutoa adds mkuu njia ya uhakika ni kuroot simu Kwanza... Sasa sina uhakika na hyo exit yako kama ni adds mwel au la.. Ndio mana nikakwambia uweke screenshot iwe rahisi mkuu.. Au funguka vizuri... Kuhusu hilo tatizo.. Linatokea wakati gani.. Limeanza lin.. Baada ya ku install nn?
 
Matangazo yote yanayotokea usiyakubali kwa ku-download
zima chomoa betri na anza mwanzo
simu hizi za android zinabeba virus sana
kwa hiyo lazima uchague baadhi ya antvirus na mambo mengine
siyo yote
 
screenshot hiyo hapo
 

Attachments

  • Screenshot_2016-01-01-23-37-57.png
    39.3 KB · Views: 35
ikitoka hapo inakuwa hivi
@kcamp
 

Attachments

  • Screenshot_2016-01-01-23-40-03.png
    90.4 KB · Views: 34
hayo ni matangazo, kuna app ndani ya simu ndio inafanya hivyo. sisi hatuijui unatakiwa ukumbuke mwenyewe ulieka nini kabla ya hilo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…