Msaada: Sifa gani zinahitajika kwa mwenye Degree ya Ualimu wa Math & Physics kuomba ajira serikalini?

Joseph midimu

Member
Mar 8, 2024
72
136
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA!
HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿ PIA NI SIFA GANI ZINAZOHITAJIKA.¿
 
Yupo mtaalamu wa mambo ya walimu atakuja soon kukupa hints

Kuna baadhi ya shahada za elimu inakuwa rahisi kujiajiri/kuajiriwa ukianza kwa kujitolea - volunteering
 
Wewe subiri tu watangaze ajira uombe kupitia ajira portal Physics na Maths ni dili kwenye ualimu hata ukifeli interview ajira utapata
 
Wewe subiri tu watangaze ajira uombe kupitia ajira portal Physics na Maths ni dili kwenye ualimu hata ukifeli interview ajira utapata
NAZUNGUMUZIA KUHUSU,, GPA NI IPI AMBAYO INAHITAJIKA NA NISIFA ZIPI LAZIMA NIWE NAZO.¿

AMA GPA HAINA EFFECTS YAANI NI EFFECTLESS
!
 
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA!
HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿ PIA NI SIFA GANI ZINAZOHITAJIKA.¿
Ajira pekee ambazo zinategemea ufaulu wa GPA ni zinazohusu kufundisha vyuo lectures hao tutors huku kwengine ni soko huria inatagmea na bahati yako tu plus maandalizi story ni nyingi ila ukweli na uhalisia ni tofaut wew muhim andaa cv vyeti viandae vipigwe muhuri wa mwanasheria jisajili ajiraportal ikitokea kazi unaomba sambaza cv vituo BINAFSI na vya serikali muombee mungu
 
Back
Top Bottom