Wakuu naomba msaada kwa mwenye ujuzi na hili,
Naulizia Shule ya bweni/day yenye ada nafuu sana, kuanzia laki 7 kushuka chini ambayo nitaweza kumsomesha kijana wangu kuanzia form 2 mpaka4 Iwe ya Boys, au boys na girls
Iwe maeneo ya dar,tanga,pwani
Asanteni.