Msaada shortcut virus kwenye pc

mareeTZ

Senior Member
Jun 4, 2015
171
179
Guys Nina pc niliweka flash ya mtu yenye wale virus wanaohide files na kuziweka shortcut ... sasa kila nikiweka any external drive inapigwa shortcut nauliza jinsi ya kuwatoa completely kweny PC.
 
Create Back up ya Data zako Kisha Install Windows mpya weka na Antivirus Mpyaaa ile full uanze fresh
 
BIG NO
usiformat windows
1.Weka antivirus yeyote kwa zile free version i recommend security essentials ya window
Kama.una run windows 10 hakikisha windows defender iko updated
2.fanya full scan ya pc yako virus watatoka

Recover shortcuts
1.download program inaitwa usbshow
2.ukisha scan external yako
Scan kwa hiyo program hiyo external itarudisha/will show files zako zote
 
Guys Nina pc niliweka flash ya mtu yenye wale virus wanaohide files na kuziweka shortcut ... sasa kila nikiweka any external drive inapigwa shortcut nauliza jinsi ya kuwatoa completely kweny PC.
mkuu kinachoweza kuondoa hao shortcut ni kaspersky antivirus, kwa experience yangu ya miaka mingi 95% ya free antivirus haziwezi kuondoa huyo mdudu.... tafuta kaspersky tuu either cracked version or yakulipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…