Msaada: Samsung S9+ ikifikisha chini ya MB200 inakata internet access

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,313
12,170
Waungwana nina tatizo na simu yangu aina Samsung S9+

Hii simu kila zikibaki MB kuanzia 200 basi inapoteza intenet access. Lets say umeweka kifurushi (data bundle) basi nikishapokea ile taarifa ya 'salio lako limebaki MB200' basi simu inapoteza kabisa internet acess na ukiangalia salio unakuta MB 100-200 ambazo muda fulani zinaweza tosha kabisa kupokea vitu Whatsapp.

Ikifikia hatua hii ili angalau niitumie basi inanibidi nifanye kuzima data kwa muda fulani na kuwasha tena. Kuna fundi aliniambia niishushe itumie 3G lakini haina hiyo option ya kuchagua muda wote inataka 4G na nikienda kule kwenye selection ya mobile data kuna option ya kuwasha na kuzima data au kuswitch video call kwenda AT&T tu.

Mnaotumia/wenye ujuzi na hii simu natatuaje hilo tatizo?
 
Nenda kwenye data plan onaonekana umeweka data usage limit kwahyo matumizi yakifika 200mb data inazima.. Nenda kwenye hiyo settings kaongeze data limit weka gata 100gb au switch off kabisa hiyo option

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom