MSAADA SAMSUNG A21 SIMPLE CHARGING WAY

CHURADUME

Senior Member
Jul 18, 2016
142
125
Nmeletewa samsung a21 simple haichaji mime chunguza nikagundua charging ic ndio shida kuipata ikawa ngumu ikabidi niunge battry direct lakini changamoto ni kuwa batty inachajiwa ila simu haionyeshi chaji mpaka udisconnect battery na urudishe ndio unaona limefikia wapi ila ukiiacha inatumika mpaka inazima na haiwaki mpaka ufungue udisconnect battr urudishe ndio utakuta limejaa ndio simu inawaka ila kuna baadhi ya simu nilisha fanyaga kama hivi ika kaasawa haionyeshi ila inapandisha asilimia nyingine inachaji ukiizima ila hii haikubali zote kama kuna mtu ana fahamu anipe mbinu
Screenshot 2025-02-12 013252.png
 
Back
Top Bottom