Wazabanga kuku JF-Expert Member Dec 13, 2016 264 378 Apr 6, 2017 #1 Kichwa cha habari chahusika Wadau naomba mnitajie radio zinazorusha matangazo ya Bunge live na Frequency zake nipo huku Kolomije ila baadae ntarudi mwanza town Nisaidieni! Asanteni sana
Kichwa cha habari chahusika Wadau naomba mnitajie radio zinazorusha matangazo ya Bunge live na Frequency zake nipo huku Kolomije ila baadae ntarudi mwanza town Nisaidieni! Asanteni sana
Hazchem plate JF-Expert Member Feb 25, 2011 11,047 15,454 Sep 5, 2017 #3 Wachana malinda FM Sent using Jamii Forums mobile app