willy ze great JF-Expert Member Apr 30, 2013 1,066 1,293 Apr 15, 2016 #1 Anayejua msaada nataka niweke feature ya kuprint ticket mfumo wa pdf
Tutor B JF-Expert Member Jun 11, 2011 9,025 6,582 Apr 15, 2016 #2 willy ze great said: Anayejua msaada nataka niweke feature ya kuprint ticket mfumo wa pdf Click to expand... Toa maelezo kwa kirefu ili ueleweke ndipo utapatiwa maelekezo unayoyataka. Binafsi sijakupata kabisa rafiki yangu
willy ze great said: Anayejua msaada nataka niweke feature ya kuprint ticket mfumo wa pdf Click to expand... Toa maelezo kwa kirefu ili ueleweke ndipo utapatiwa maelekezo unayoyataka. Binafsi sijakupata kabisa rafiki yangu
C computerkiddy JF-Expert Member Oct 1, 2015 488 534 Apr 15, 2016 #3 weka link ya site yako tuifanyie analysis.then ushauri utapewa kulingana na site yako